Al-mushtarak
Al-mushtarak
Ufafanuzi wake:
Its definition:
Lafdhi la Mushtarak (la pamoja) ni lile neno ambalo limewekwa kwa maana mbili au zaidi kulingana na hali kadhaa. Kila maana kati ya maana hizo imewekwa kwa hali au uhalisia fulani, pale ambapo neno lilipowekwa kwa maana moja, kisha likatumika na kuwekwa tena kwa maana nyingine, na kadhalika.
The Mushtarak (common) Lafzh is that Lafzh that has been provided for two or more meanings in respect to a number of situations. Each meaning from amongst the meanings has been provided for a particular situation or reality in the case where the Lafzh was provided for a meaning and was then used and provided again for another meaning and so on.
Mifano:
Examples:
- Neno "Al-Qur'u" (القرء) limetumika kwa maana mbili: kipindi cha usafi (tohara) na kipindi cha hedhi.
- The Lafzh ‘Al-Qur’u' (has been provided for two meanings: The period of purity and the period of menses.