Uwezekano wa kutokea kwa Al-Ijmaa’
The possibility of the occurrence of Al-Ijmaa’
1 – Kuafikiana (Ijmaa') ya Ummah ya Kiislamu katika kipindi fulani au zama fulani, au Ijmaa' ya Mujtahidina miongoni mwa Ummah, hakuwezekani kweli. Hii ni kwa sababu watu walitawanyika katika mikoa tofauti. Mikoa hii iko mbali sana kutoka kwa nyingine, na umbali wao unafanya Ijmaa' yao kuwa jambo lisilowezekana. Isipokuwa ni Ijmaa' yao (makubaliano na kuafikiana) juu ya maandishi ya Qat'iy yaliyopokelewa kutoka kwa Wahyi, kama vile kuelekea Qiblah katika Swalah, wajibu wa Swawm, Zakaah, Hajj na Al-Jihaad. Pamoja na hayo, hoja (Hujjiyah) kuhusu Ahkaam hizi inarejea kwenye maandishi ya uhakika (Qat'iy) na kwenye Akhbaar Al-Mutawaatirah (habari za uhakika zilizopokewa na wengi), wakati hairejei kwenye Al-Ijmaa'.
1 – Concluding an Ijmaa’ (consensus) of the Islamic Ummah in a certain time period or era or the Ijmaa’ of the Mujtahideen from amongst the Ummah is not actually possible. This is because the people were dispersed across different regions. These regions are far away from each other and their distance apart makes their Ijmaa’ an impossibility. The exception to that is their Ijmaa’ (agreement and consensus) upon the Qat’iy text that has been transmitted to them from the Wahi like facing towards the Qiblah in the Salaah, the obligation of Siyaam, Zakaah, Hajj and Al-Jihaad. Despite that, the Hujjiyah (proof) in respect to these Ahkaam returns back to the definite (Qat’iy) text and to the Akhbaar Al-Mutawaatirah (definite reports) whilst it does not return to Al-Ijmaa’.
2 – Kuhusu Ijmaa' ya Maswahaba, baadhi yake imetufikia kwa njia ya Tawaatur, na baadhi yake imefikia kwa Akhbaar Al-Aahaad kuhusu jambo ambalo makubaliano yao yamelikubali. Mifano ya hilo ni Ijmaa' yao kuhusu bibi kupata sudusi (sehemu ya sita) katika urithi; kwamba akiwa mmoja anapata sehemu yote ya sita, na akiwa zaidi ya mmoja wanagawana sehemu ya sita hiyo.
2 – As for Ijmaa’ As-Sahaabah, then some of it has been transmitted to us by way of Tawaatur whilst some of it has been transmitted by Akhbaar Al-Aahaad in respect to what their consensus has fallen upon. Examples of this include their Ijmaa’ in respect to the grandmother taking a sixth in inheritance; that she has the whole share if she is one and shares in the sixth if there are more than one.
Pia walifikia makubaliano (ijmaa') juu ya kukusanywa kwa Qur-aan na juu ya kuinakili katika Mushaf. Pia walikubaliana juu ya kumteua Abu Bakr (ra) kuwa Khalifah (mrithi) wa Mtume wa Allah ﷺ, pamoja na kufikia ijmaa' juu ya hukumu nyingi nyingine za kiutendaji za Shari'ah zilizomo katika vitabu vya Fiqh na ambazo zinahusishwa na Ijmaa' As-Sahaabah.
They also held a consensus upon the collection of the Qur’aan and upon it being copied down into a Mushaf. They also agreed upon the appointment of Abu Bakr (ra) as the Khalifah (successor) to the Messenger of Allah (saw) in addition to holding an Ijmaa’ upon many other practical Ahkaam Ash-Shar’iyah which are present within the books of Fiqh and are attributed to Ijmaa’ As-Sahaabah.