Sunnah si sawa na Aya, wala si bora kuliko Qur'ani wala sawa nayo. Pia imepokewa kwa usahihi kutoka kwa 'Umar Ibn Al-Khattaab (ra) kwamba alisema: "Hatuiachi Kitabu cha Allah na Sunnah ya Nabii wetu kwa kauli ya mwanamke ambaye hatujui kama amesema kweli au amesema uongo."
The Sunnah is not the same as the Aayaat and it is not better than the Qur’aan or like it. It has also been soundly reported from ‘Umar Ibn Al-Khattaab (ra) that he said: “We do not leave the Kitaab of Allah and the Sunnah of our Nabi for the statement of a women whom we don’t know whether she has told the truth or lied”.
3 – Haijuzu kufuta Sunnah Al-Mutawaatirah kwa Khabar Al-Aahaad.
3 – It is not permissible to abrogate the Sunnah Al-Mutawaatirah by the Khabar Al-Aahaad.
Hii ni kwa sababu Sunnah Al-Mutawaatirah ni Qat'iy Ath-Thuboot (uthibitisho wake ni wa hakika), wakati Khabar Al-Aahaad ni Zhanniy Ath-Thuboot (uthibitisho wake ni wa dhana), na Zhanniy haiwezi kufuta Qat'iy kwa sababu Qat'iy iko juu zaidi yake.
This is because the Sunnah Al-Mutawaatirah is Qat’iy Ath-Thuboot whilst the Khabar Al-Aahaad is Zhanniy Ath-Thuboot and the Zhanniy cannot abrogate the Qat’iy because the Qat’iy is higher than it.
4 – Haijuzu kufuta hukmu ya Al-Qiyaas.
4 – It is not permissible to abrogate a Hukm of Al-Qiyaas.
Qiyaas (kipimo cha kulinganisha) ambacho ni Mu’tabar (kinachokubalika/halali) ni Qiyaas ambayo 'Illah (sababu yake) imetoka katika Qur'aan au Sunnah.
The Qiyaas (analogy) which is Mu’tabar (considered/valid) is the Qiyaas which its ‘Illah (reason) is from the Qur’aan or the Sunnah.
Qiyaas hudumu maadamu Asl (chanzo) inadumu, na Asl ikifutwa (nasikhwa), basi hakuna Qiyaas. Kwa sababu hii, An-Naskh (kufuta hukumu) hakutokei kabisa katika Al-Qiyaas, na kutokea kwa kufutwa kwa Qiyaas hakuwezi kufikiriwa wakati Asl inaendelea kuwepo, kwa sababu Hukm (hukumu) imo ndani ya Asl.
The Qiyaas remains as long as the Asl (origin) remains and if the Asl is abrogated then there is no Qiyaas. For this reason, An-Naskh (abrogation) does not occur in Al-Qiyaas at all and the occurrence of the abrogation of Qiyaas cannot been envisioned to happen whilst the Asl (origin) remains because the Hukm is present within the Asl.