Mahitaji Ya Al-Ijtihaad
The Requirements Of Al-ijtihaad
1 – Kujua hakika ya Mas'alah (suala) ambalo hukumu yake inatafutwa.
1 – Knowledge of the reality of the Mas’alah (issue) for which the derivation of the Hukm is being sought.
2 – Maarifa ya nusu za Shari'ah zinazohusiana na suala hilo.
2 – Knowledge of the Shar’iyah texts related to the Mas’alah.
3 – Kutumia juhudi zote pale mujtahid anapohisi kwamba hawezi kufanya zaidi.
3 – Expending of effort where the Mujtahid feels that he is incapable of more.
Hilo linahusiana na Istinbaat (istinbati) ya Hukm Ash-Shar'iy kutoka katika matini zinazohusiana na suala hilo, kwa kutumia maarifa yake ya kilugha na maarifa yake ya Shari'ah yanayohitajika kwa lazima kwa Istinbaat hiyo mahsusi.
That relates to the Istinbaat (derivation) of the Hukm Ash-Shar’iy from the texts related to the issue utilising his linguistic areas of knowledge and his Shar’iyah areas of knowledge that are necessarily required for that particular Istinbaat (deduction).