Kazi kubwa zaidi za Usul kwa njia (tareeqah) ya Fuqaha
The most significant works of Usool upon the Fuqahaa’ Tareeqah (method)
Yafuatayo ni baadhi ya vitabu muhimu zaidi vilivyoandikwa kwa mbinu hii:
The following are from the most significant books written upon this method:
1) ‘Risaalah Al-Karkhi Fee Usool’, iliyoandikwa na Abu l-Hasan ‘Ubaidulah Bin Al-Hasan Al-Karkhi, aliyefariki mwaka 340 AH. Ndani yake alitaja Usool ambazo kitabu nyingi za wafuasi wa Imamu Abu Haneefah zinazunguka juu yake. 2) ‘Usool Al-Jassaas’, iliyoandikwa na Abu Bakr Ahmad Bin ‘Ali Ar-Raaziy Al-Jassaas Al-Hanafiy, aliyefariki mwaka 370 AH. Alifuata katika kitabu chake njia ya Al-Karkhiy.
1) ‘Risaalah Al-Karkhi Fee Usool’ authored by Abu l-Hasan ‘Ubaidulah Bin Al-Hasan Al-Karkhi who passed away in the year 340 AH. In it he mentioned the Usool upon which a large number of the books of the followers of Al-Imaam Abu Haneefah revolve around. 2) ‘Usool Al-Jassaas’ written by Abu Bakr Ahmad Bin ‘Ali Ar-Raaziy Al-Jassaas Al-Hanafiy who passed away in the year 370 AH. He proceeded in his book upon the Tareeqah of Al-Karkhiy.
3) ‘Usool As-Sarkhasiy’ ilioandikwa na Abu Bakr Muhammad Bin Ahmad As-Sarkhasiy ambaye alifariki mwaka 483 AH.
3) ‘Usool As-Sarkhasiy’ written by Abu Bakr Muhammad Bin Ahmad As-Sarkhasiy who passed away in the year 483 AH.
Baadhi ya vitabu vingine vya Usool ul-Fiqh kwa mtindo huu ni pamoja na:
Some of the other books in Usool ul-Fiqh upon this Tareeqah include:
1) "Usool Al-Bazdawiy" iliandikwa na Fakhr-ul-Islaam Abu-l-Hasan Al Bazdawiy, aliyefariki mwaka 482 AH, na jina la kitabu hicho ni: "Kanz ul-Wasool Ilaa Ma'rifat ul-Usool".
1) ‘Usool Al-Bazdawiy’ authored by Fakhr-ul-Islaam Abu-l-Hasan Al Bazdawiy who passed away in the year 482 AH and the name of the book is: ‘Kanz ul-Wasool Ilaa Ma’rifat ul-Usool’.
2) ‘Ta’sees An-Nazhar’ ya Abu Zaid Abdullah Ad-Daboosiy, aliyefariki mwaka 430 AH. Kitabu chake kinaongoza kwenye Usool ambazo Maimamu wa Madhehebu ya Hanafiy walikubaliana nazo pamoja na wengine, na pia alitaja mahali walipotofautiana.
2) ‘Ta’sees An-Nazhar’ written by Abu Zaid Abdullah Ad-Daboosiy who passed away in the year 430 AH. His book guides towards the Usool that the A’immah (Imaams) of the Hanafiy Madh’hab agreed with others upon and he also mentioned where they disagreed.
3) ‘Manaar Al-Anwaar’ ni kitabu kilichoandikwa na Abu-l-Barakaat Abdullah An Nasafiy, aliyefariki mwaka 710 Hijria. Kitabu hiki kimeandikiwa sharhi nyingi (Shurooh), na ya kwanza kati yake ni ‘Kashf Al-Asraar’, iliyoandikwa na mwandishi huyo huyo.
3) ‘Manaar Al-Anwaar’ authored by Abu-l-Barakaat Abdullah An Nasafiy who passed away in the year 710 AH. Many explanations (Shurooh) have been written for this book and the first of which was ‘Kashf Al-Asraar’ by the same author.