Q 123: Ni dalili gani ya maandishi kutoka katika Qur'ani Tukufu kwamba Njia Iliyonyooka ipo?
Q 123: What is the textual proof from the Glorious Qur'an that the Straight Path exists?
A--- Allah Mtukufu anasema: {Wala hakuna miongoni mwenu ila atapita juu yake (Jahannamu). Hilo ni kwa Mola wenu Mlezi, ni hukumu iliyokwisha kupitishwa. Kisha tutawaokoa wale waliomcha Mwenyezi Mungu, na tutawaacha madhalimu humo (wakiwa wamepiga magoti kwa unyonge)}. (Maryam, 71, 72)
A--- Allah the Almighty says: {There is not one of you but will pass over it (Hell): this is with your Lord,' a Decree which must be accomplished. Then We shall save those who used to fear Allah and were dutiful to Him, and We shall leave the Zalimun (polytheists and wrong-doers) therein (humbled) to their knees (in Hell)}. (Maryam, 71, 72)
Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema: {Siku utakapowaona waumini wanaume na waumini wanawake: nuru yao inakimbia mbele yao na kwa mikono yao ya kulia}. (Al-Hadid, 12)
Allah the Almighty says: {On the Day you shall see the believing men and the believing women: their light running forward before them and by their right hands}. (Al-Hadid, 12)
Marejeo: 200 FAQ On Muslims Belief - Shiekh Hafiz Ibn Ahmed Al Hakami
Reference: 200 FAQ On Muslims Belief - Shiekh Hafiz Ibn Ahmed Al Hakami