Q 24: Ni dalili gani kutoka katika Qur'ani Tukufu na Sunnah ya Mtume ﷺ kwamba Muislamu lazima awe mkweli wa nia?
Q 24: What is the textual proof from the Glorious Qur'an and the Prophetic Sunnah that a Muslim must be sincere?
A--- Allah, Mwenye Nguvu zote, anasema: {Hakika dini (yaani ibada na utiifu) ni ya Allah peke yake}. (Az-Zumar, 3)
A--- Allah, the Almighty says: {Surely the religion (i.e. the worship and the obedience) is for Allah only}. (Az-Zumar, 3)
Allah anasema: {Basi mwabuduni Allah (peke yake) kwa kufanya matendo ya kidini kwa ikhlasi kwa ajili ya Allah peke yake}. ()