Q 142: Ni Qadar ngapi zimedhihirika katika daraja hili?
Q 142: How many Pre-ordainments are implied in this rank?
A--- Hizi ni tano, ambazo zote ni za elimu:
A--- These are five, all of which belong to know ledge:
Kwanza: Kuandika kwa Allah Mtukufu maamrisho Yake miaka elfu hamsini kabla ya kuumbwa mbingu na ardhi, wakati Kalamu ilipoumbwa. Hii inaitwa Qadari ya Azali.
First: Recording one's ordainments fifty thousand years before the creation of the heavens and the earth when the Pen was created by Allah the Almighty. This is called the Eternal Pre-ordainment.
Pili: Kuwekwa kwa kadari kabla ya kuzaliwa: wakati Allah Mtukufu alipochukua Ahadi kutoka kwa Wana wa Adamu: {Na (kumbukeni) Mola wenu Mlezi alipowatoa Wana wa Adamu, kutoka migongoni mwao, uzao wao, na kuwafanya washuhudie juu ya nafsi zao (akisema): "Je, mimi si Mola wenu Mlezi?" Wakasema: "Naam! Tunashuhudia," ili msije mkasema Siku ya Kiyama: "Hakika sisi tulikuwa hatuna habari ya haya." Au mkasema: "Ni baba zetu tu wa zamani waliomshirikisha Allah pamoja naye; nasi tulikuwa (tu) wazao baada yao; je, utatuangamiza kwa sababu ya matendo ya watu waliofuata Al-Batil (yaani, shirki na kutenda maovu na dhambi, wakiomba na kuabudu wengine badala ya Allah)?"). ()