Q 149: Ni dalili gani ya kimaandishi kwa daraja la tatu: kuthibitisha imani katika Utashi wa Allah?
Q 149: What is the textual proof of the third rank: affirming faith in the Willingness of Allah?
A ---Allah Mwenye Nguvu zote anasema: {Lakini nyinyi hamtaki, isipokuwa Allah akitaka}. (Al-Insan, 30)
A ---Allah the Almighty says: (But you cannot will, unless Allah wills). (Al-Insan, 30)
Allah Mtukufu asema: {Wala usiseme juu ya kitu chochote, "Hakika nitafanya hivi na hivi kesho." Isipokuwa (kwa kusema), "Akitaka Allah!"}. (Al-Kahf, 23, 24)
Allah the Almighty says: {And never say of anything, "I shall do such and such thing tomorrow." Except (with the saying), "if Allah will!"}. (Al-Kahf, 23, 24)
Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema: {Allah huwapoteza wale anaowataka, na huwaongoza kwenye Njia iliyonyooka wale anaowataka}. (Al-An'am, 39)
Allah the Almighty says: {Allah sends astray whom He wills and He guides on the Straight Path whom He wills}. (Al-An' am, 39)
Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema: {Na lau Mwenyezi Mungu angelitaka, angelikufanyeni umma mmoja}. (Al-Ma'idah, 48 na An-Nahl, 93)
Allah the Almighty says: {And had Allah willed, He could have made you (all) one nation}. (Al-Ma'idah, 48 & An-Nahl, 93)
Allah Mtukufu anasema: {Na kama Allah angetaka, angewafanya umma moja}. (Ash-Shura, 8)
Allah the Almighty says: {And if Allah had willed, He could have made them one nation}. (Ash-Shura, 8)
Allah Mtukufu anasema: {Lakini lau Allah angelitaka, bila shaka angaliwaadhibu wao (bila wewe)}. (Muhammad, 4)
Allah the Almighty says: {But if it had been Allah's Will, He Himself could certainly have punished them (without you)}. (Muhammad, 4)
Allah Mtukufu asema: {(Yeye) ni Mtendaji wa lolote analolitaka (au analolipenda)}. (Al-Buruj, 16)
Allah the Almighty says: {(He is the) Doer of whatsoever He intends (or wills)}. (Al-Buruj, 16)
Marejeo: Maswali 200 Kuhusu Imani ya Waislamu - Sheikh Hafiz Ibn Ahmed Al Hakami
Reference: 200 FAQ On Muslims Belief - Shiekh Hafiz Ibn Ahmed Al Hakami