Q 154: Tunawezaje kujibu swali lifuatalo: Je, Allah hawezi kuwafanya waja wake wote watiifu na waumini walioongoka?
Q 154: How can we answer the following question: Isn't Allah Able to make all His slaves obedient and guided believers?
Ndiyo, Yeye anaweza kufanya hivyo kama Yeye mwenyewe alivyoonyesha katika Qur'ani yake Tukufu akisema, {Na lau Allah angetaka, angelikufanyeni umma mmoja, lakini humpoteza amtakaye na humwongoza amtakaye. Lakini bila shaka mtaulizwa kuhusu yale mliyokuwa mkiyatenda}. (Al-Ma'idah, 48 na An-Nahl, 93)
A--- Yes, He is Able to do so as He Himself showed in His Glorious Qur'an saying, {And had Allah willed, He could have made you (all) one nation, but He sends astray whom He wills and guides whom He wills. But you shall certainly be called to account for what you used to do}. (Al-Ma'idah, 48 & An-Nahl, 93)