Swali la 197: Ni njia ipi iliyo nyoofu tunayoamriwa kuifuata?
Q 197: What is the straight path we are ordered to follow?
Dini ya Uislamu ndiyo njia iliyonyooka ambayo tumeamrishwa kuifuata na tumekatazwa kuiacha. Ni dini ambayo Allah alimtuma nayo Mitume Wake na kuteremsha Vitabu Vyake. Haikubali kutoka kwa waja Wake isipokuwa hiyo, wala haokoi isipokuwa wale wanaoifuata. Na yeyote anayefuata kitu kingine isipokuwa hiyo, hakika atapotea. Allah Mtukufu anasema:
A ---The religion of Islam is the straight path we are ordered to follow and are forbidden to leave. It is the religion with which Allah sent His Messengers and revealed His Books. He accepts none but it from His slaves, and He saves none but those who follow it. And, whosoever follows other than it, he will certainly go astray. Allah the Almighty says:
{Na hakika haya ndiyo Njia Yangu iliyonyooka, basi ifuateni, wala msifuate njia nyingine, kwani zitakutengeni mbali na Njia Yake}. ()