Q 152: Maana ya kauli hii ya Mtume ﷺ ni nini: "Na wema wote uko Mikononi Mwako; na uovu hauhusishwi Kwako"?
Q 152: What does the following statement of the Prophet (Peace be upon him) mean: "And all the goodness is in Your Hand; and the evil is not (attributed) to You”?
A--- Hii inamaanisha kwamba vitendo vyote vya Allah Mtukufu ni wema safi na kamili, kwa kuwa vinanasibishwa Kwake na vinatoka Kwake Yeye peke yake.
A--- This means that all the Acts of Allah the Almighty are pure and absolute good as they are attributed to Him and emanate only from Him.
Hawana uhusiano wowote na uovu. Kwa kuwa Allah Mtukufu ni Mwenye Hekima Kamili, Mwenye Haki Kamili, na matendo yake yote ni hekima na haki. Yeye huweka kila kitu mahali pake panapostahili. Lakini kama kungekuwa na kiwango chochote cha uovu katika maamuzi hayo, ingekuwa kwa upande wa mja ambaye anaweza kupatwa na maangamizi kwa sababu ya alichojichumia mwenyewe, kwa haki na kwa kipimo kamili. Allah Mtukufu anasema: {Na msibu wowote unaokufikieni ni kwa sababu ya yale yaliyochuma mikono yenu. Naye husamehe mengi}. ()