Q 89: Je, wito wa Mitume ulikubaliana na kila mmoja kuhusu amri na makatazo waliyoyafikisha?
Q 89: Did the call of the Messengers correspond with one another regarding the orders and prohibitions they conveyed?
Ndio, wito wao ulilingana, na wito wao ulikuwa mmoja tangu wa kwanza wao hadi wa mwisho. Wote walilingania watu kwenye msingi na kiini cha ibada ambacho ni Tawhid (Umoja wa Mungu Mtukufu, yaani, "hakuna haki ya kuabudiwa isipokuwa Allah Mtukufu"). Kuhusu matendo ya kidini au wajibu, Swala na Funga, kwa mfano, vinaweza kuwa vimewekwa kwa baadhi yao, lakini si kwa wengine. Zaidi ya hayo, kitu kinaweza kuharamishwa kwa baadhi yao wakati kinaruhusiwa kwa wengine, kama mtihani na jaribio kutoka kwa Allah Mtukufu: {Ili Yeye akujaribu ni yupi kati yenu aliye mwema zaidi katika matendo}. (Hud, 7)
A ---Yes, their call corresponded to each other, and their call was one and the same from the first among them till the last. They all invited men to the principle and essense of worship that is Tawhid (Monotheism or the Oneness of Allah the Almighty, which means, "none has the right to be worshipped except Allah the Almighty)." As for the religious rituals or duties, Prayers and Fasting for example might be ordained on some of them, while not on the others. Moreover, something might be made illegal for some of them while it is legal for the others by way of test and trial from Allah the Almighty: {That He might try you, which of you is the best in deeds}. (Hud, 7)
Kumbukumbu: 200 FAQ On Muslims Belief - Shiekh Hafiz Ibn Ahmed Al Hakami
Reference: 200 FAQ On Muslims Belief - Shiekh Hafiz Ibn Ahmed Al Hakami