Q 165: Kufr Juhud maana yake ni nini?
Q 165: What does "Kufr Juhud" mean?
A--- Hii inamaanisha kuficha ukweli na kutoukubali huku mtu akiujua, kama vile kufuru ya Firauni na watu wake kwa Musa (Moses) (Amani imshukie) na kufuru ya Mayahudi kwa Muhammad ﷺ.
A--- This implies concealing the truth and not to submit thereto while one knows it such as the disbelief of Pharaoh and his folk in Musa (Moses) (Peace be upon him) and the disbelief of the Jews in Muhammad (Peace be upon him).
Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema kuhusu Firauni na kaumu yake: {Nao wakazikanusha kwa dhulma na kujivuna, ilhali nafsi zao zilikuwa zimezikubali kwa yakini [yaani, hizo Aya zimetoka kwa Allah, na Musa ni Mtume wa Allah kwa kweli, lakini walichukia kumtii Musa, na walichukia kuamini Ujumbe wake wa Tauhidi]}. (An-Naml, 14)
Allah the Almighty says in regard to Pharaoh and his folk: {And they belied them (those Ayat) wrongfully and arrogantly, though their own selves were convinced thereof [i.e. those (Ayat) are from Allah, and Musa (Moses) is the Messenger of Allah in truth, but they disliked to obey Musa (Moses), and hated to believe in his Message of Monotheism]}. (An-Naml, 14)
Anasema kuhusu Mayahudi: {Basi hapo lilipowajia lile walilolijua, wakalikanusha}. (Al-Baqarah, 89)
He says in regard to the Jews: {Then when there came to them that which they had recognized, they disbelieved in it}. (Al-Baqarah, 89)
Allah Mtukufu asema: {Lakini hakika kundi lao wanaficha haki na hali wanajua -[yaani sifa za Muhammad (SAW) zilizoandikwa katika Taurati na Injili]}. (Al-Baqara, 146)
Allah the Almighty says: {But verily, a party of them conceal the truth while they know it -[i.e. the qualities of Muhammad (Peace be upon him) which are written in the Taurat (Torah) and the Injeel (Gospel)]}. (Al-Baqarah, 146)
Marejeo: Maswali 200 Kuhusu Imani ya Waislamu - Sheikh Hafiz Ibn Ahmed Al Hakami
Reference: 200 FAQ On Muslims Belief - Shiekh Hafiz Ibn Ahmed Al Hakami