Q 138: Ni dalili gani ya kimaandiko inayothibitisha kwamba Muislamu lazima aamini Qadar (Hukumu ya Mungu ya Kale, yaani Qadari)?
Q 138: What is the textual proof that a Muslim must believe in the Divine Decree (Predestination)?
A---Allah Mtukufu anasema: {Na amri ya Allah ni hukumu iliyopangwa}. (Al-Ahzab, 38)
A---Allah the Almighty says: {And the Command of Allah is a decree determined}. (Al-Ahzab, 38)
Allah Mtukufu Mwenye Nguvu anasema: {Ili Mwenyezi Mungu atimize jambo lililokwisha kuamuliwa (katika Ujuzi Wake)}. (Al-Anfal, 42-44)