Q 18: Shahada ya "Hakuna mungu isipokuwa Allah" inamaanisha nini?
Q 18: What does the testimony, "There is no god but Allah" mean?
Ina maana kwamba hakuna mwenye haki ya kuabudiwa isipokuwa Allah, Ambaye hana washirika wala mpinzani pamoja Naye katika Ibada wala katika Ufalme. Allah Mtukufu anasema:
A ---It means that none has the right to be worshipped but Allah Who has no partners or rivals with Him in Worship or Dominion. Allah the Most High says:
Hiyo ni kwa sababu Mwenyezi Mungu ndiye Haki (Mungu wa kweli pekee wa kila kilichopo, asiye na washirika wala washindani pamoja Naye), na kile wanachokiomba badala yake (washirikina) ni Batili. Na hakika Mwenyezi Mungu ndiye Aliye Juu, Mkuu. {Al-Hajj, 62}