Swali la 37: Je, ni dalili gani ya maandishi inayothibitisha kwamba imani lazima idhihirishwe kwa maneno na matendo?
Q 37: What is the textual proof that Faith must be expressed in words and deeds?
A--- Allah, Subhanahu wa Ta'ala, anasema: {Lakini Allah amewapendezea imani, na akaipamba katika nyoyo zenu}. (Al-Hujurat, 7)
A--- Allah, the Almighty says: {But Allah has endeared the Faith to you and has beautified it in your hearts}. (Al-Hujurat, 7)
Allah anasema: {Basi mwaminini Allah na Mtume Wake (Muhammad)}. (Al-A'raf, 158)
Allah says: {So believe in Allah and His Messenger (Muhammad (Peace be upon him))}. (Al-A'raf, 158)