Q 31: Ni dalili gani za kimaandiko zinazothibitisha kwamba Swala na Zakat ni wajibu?
Q 31: What is the textual proof that Prayer and Zakah are compulsory?
A--- Allah, Mwenye enzi, anasema: {Lakini wakitubia, wakasimamisha Swala na wakatoa Zaka, basi waachieni njia yao}. (At-Tawbah, 5)
A--- Allah, the Almighty says: {But if they repent and perform Prayer, and give Zakah, then leave their way free}. (At-Taubah,5)
Allah anasema: {Lakini wakitubu, wakasimamisha Swala na kutoa Zakaah, basi ni ndugu zenu katika dini}. (At-Tawbah, 11)
Allah says: {But if they repent, perform Prayer and give Zakah, then they are your brethren in religion}. (At-Taubah, 11)
Allah anasema: {Na hawakuamrishwa ila wamwabudu Allah, wakimtakasia Yeye dini kuwa wanyofu, na wasimamishe Swala, na watoe Zaka}. (Al-Bayyinah, 5)
Allah says: {And they were commanded not, but that they should worship Allah, and worship none but Him Alone, and perform Prayer and give Zakah}. (Al-Bayyinah, 5)
Marejeo: Maswali 200 Kuhusu Imani ya Waislamu - Sheikh Hafiz Ibn Ahmed Al Hakami
Reference: 200 FAQ On Muslims Belief - Shiekh Hafiz Ibn Ahmed Al Hakami